Dira ya Bodi.
Kuwa Taasisi yenye uwezo na endelevu katika kutoa mikopo kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa hadi ngazi za Msingi za Serikali za Mitaa (Lower Level Local Government Authorities) nchini.
Dhima ya Bodi.
Kuendelea kutoa huduma ya mikopo yenye kuleta tija, usawa na endelevu kwa miradi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika Mamlaka za Serikali za Mitaa na kwingineko nchini.
Haki Miliki@ Bodi ya Mikoya Mikopo ya Serikali za Mitaa