Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Selemani S.Jafo na Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce L. Ndalichako Ikulu Jijini Dar es Salaam leo January 17,2018. Mhe.Rais amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za Serikali za msingi na sekondari na amewaagiza Mawaziri hao kusimamia hilo. Picha na Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifafanua jambo kwa msisistizo mara baada ya kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Selemani S.Jafo(kushoto) na Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce L. Ndalichako(kulia) Ikulu Jijini Dar es Salaam leo January 17,2018. Mhe.Rais amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za Serikali za msingi na sekondari na amewaagiza Mawaziri hao kusimamia hilo. Picha na Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akitoa Maelekezo mara baada ya kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Selemani S.Jafo(kushoto) na Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce L. Ndalichako(kulia) Ikulu Jijini Dar es Salaam leo January 17,2018. Mhe.Rais amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za Serikali za msingi na sekondari na amewaagiza Mawaziri hao kusimamia hilo. Picha na Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Selemani S.Jafo(kushoto) na Waziri wa Elimu ,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce L. Ndalichako(kulia) Ikulu Jijini Dar es Salaam leo January 17,2018. Mhe.Rais amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za Serikali za msingi na sekondari na amewaagiza Mawaziri hao kusimamia hilo. Picha na Ikulu.
Haki Miliki@ Bodi ya Mikoya Mikopo ya Serikali za Mitaa