Karibu katika Tovuti ya Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa, mahala ambapo utapata taarifa
muhimu ambazo zitakupa uelewa juu ya Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa, na namna inavyofanya kazi.